π—žπ—”π—ͺπ—”π—œπ——π—”: π—‘π—œπ— π—£π—’π—‘π—šπ—˜π—­π—˜ π—₯π—”π—œπ—¦ π——π—žπ—§. π—¦π—”π— π—œπ—” π—žπ—¨π—˜π—‘π——π—˜π—Ÿπ—˜π—” π—žπ—¨π—Ÿπ—˜π—§π—” π— π—”π—˜π—‘π——π—˜π—Ÿπ—˜π—’

 


Mwenyekiti wa UVCCM na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Ndugu Mohammed Ali Kawaida amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuendelea kuleta maendeleo hususani ahadi alizotoa katika kampeni za Uchaguzi Mkuu katika siku 100 za kwanza za uongozi wake.

Ndugu Kawaida akizungumza na maelfu ya wanafunzi wa Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu mkoani Dodoma leo tarehe 24 Januari 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.

Ametaja baadhi ya yaliyotekelezwa ikiwemo Bima ya Afya kwa wote na ajira kwa vijana zikiwemo za udaktari.



Comments

Popular posts from this blog

Kafulila: Familia Ndogo, Uchumi Imara Ndiyo Njia ya Tanzania Kufikia Maendeleo

WANAHABARI WATAKIWA KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KULINDA HAKI ZAO

MRADI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME CHALINZE–DODOMA KUKAMILIKA AGOSTI 2026 : MD TWANGE