CCM KUHUISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA

 


Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi amesema katika kipindi cha Miaka mitano ijayo, chama hicho kitahuisha Mchakato wa Katiba mpya.


Dkt Nchimbi ametoa kauli hiyo leo Septemba Mosi 2025 wakati akiwa kata ya Dutwa mkoani Simiyu, ikiwa Muendelezo wa Kampeni Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.


Sambamba na mpango huo, pia CCM imedhamiria ndani ya miaka mitano ijayo itaendelea kusimamia na kudumisha Suala la Amani kwa Watanzania.



Comments

Popular posts from this blog

Kafulila: Familia Ndogo, Uchumi Imara Ndiyo Njia ya Tanzania Kufikia Maendeleo

WANAHABARI WATAKIWA KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KULINDA HAKI ZAO

MRADI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME CHALINZE–DODOMA KUKAMILIKA AGOSTI 2026 : MD TWANGE