INEC WABANDIKA FOMU ZA UTEUZI ZA MGOMBEA URAIS CHAMA CHA ACT WAZALENDO

 


Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu Kailima, R. K (kulia) na Mkurugenzi wa Ofisi ya Zanzibar, Ndugu Adam Mkina wakishuhudia ubandikaji wa fomu za uteuzi za Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT - WAZALENDO), Mhe. Luhaga Joelson Mpina na Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej majira ya Saa 10:00 jioni ya leo (13/9/2025) ikiwa ni utekelezaji wa masharti ya sheria inayotaka fomu hizo kubandikwa kwa Saa 24 ili kutoa fursa ya kuweka pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais ambapo pingamizi hilo linaweza kuwekwa na mgombea mwingine, Msajili wa Vyama vya Siasa au Mwanasheria Mkuu wa Serikali.









Comments

Popular posts from this blog

HAPI AWATAKA WAGOMBEA WALIOKOSA UTEUZI KUVUNJA MAKUNDI NA KUUNGANA KUTAFUTA KURA ZA KISHINDO ZA CHAMA HICHO.

Msajili Hazina aipa tano TPA

YUSUPH RAI AWASII WANANCHI TEMEKE KUCHAGUA MTU SIO CHAMA KWA MAENDELEO YA JIMBO HILO.