Posts

Showing posts from October, 2026

WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI KWA UFANISI

Image
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohammed Abubakar akihutubia wakati wa ufungaji wa mafunzo Mkoani Tabora leo tarehe 01 Oktoba, 2026 kwa  watendaji wa uchaguzi yaliyofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 29 Septemba hadi 01 Oktoba, 2026. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohammed Abubakar akihutubia wakati wa ufungaji wa mafunzo Mkoani Tabora leo tarehe 01 Oktoba, 2026 kwa  watendaji wa uchaguzi yaliyofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 29 Septemba hadi 01 Oktoba, 2026. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele na Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ndg. Ramadhani Kailima.  Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohammed Abubakar akihutubia wakati wa ufungaji wa mafunzo Mkoani Tabora leo tarehe 01 Oktoba, 2026 kwa  watendaji wa uchaguzi yaliyofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 29 Septemba hadi 01 Oktoba, 2026. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume Huru ya ...